Korosho yote itasafirishwa kupitia bandari ya mtwara.Waziri Mkenda.

WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema Bandari ya Mtwara imejiandaa vizuri kwa ajili ya kusafirisha zao la korosho na uamuzi huo hautabadilika kwa kuwa ni maekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. “Haya ni maelekezo ya serikali kwamba korosho yote huku itapitia bandari hii maagizo hayo ni ya Rais hayatabadilika kwa hiyo wote ambao wanataka